Sign the GuestBook
|
Shows: 8309.
Inputs: 449.
Last show: Wed Nov 19 02:01:26 2008
.
Last input: Fri Nov 14 21:56:44 2008
.
|
|
Name: HUSSEIN MWENDA
|
| Country: FRANCE |
Date: Tue Mar 26 21:55:36 2002
|
|
Comment: nimefurahishwa sana kuipata website yenu kwa kua tokea nfike hukuufaransa nilikua nikihangaika kuitafuta web yenuninashukuru kwa kuipata,kitu kimoja ninapenda kuwashauri,huku ufaransa watu wengi wamefurahishwa na juhudi zenu za kuueneza uislam,ispokua ninaomba mjitahidi kutoa mafundisho yenu kwa lugha ya kifaransa,ninajua hili linaweza kuchukua muda lakini jitahidini sana,kwa kua wapo jamaa wengi wanalipenda kwa bahati mbaya hawaifahamu lugha ya kiingeleza.AKHUUKUM FILLAH H,MWENDA.
|
|
Name: Suleiman Kaisi
|
| Country: Namibia |
Date: Tue Mar 26 19:23:12 2002
|
|
Comment: NAfurahi kwamba sasa naweza kupata habari za Uislam na za nyumbani kwa ujumla.Tafadhali msiache na juhudi hizo na Allah atatia taufiq yake.
|
|
Name: FADHIL MACHELA
|
| Country: Tanzania |
Date: Tue Mar 26 18:46:07 2002
|
Comment: maoni yangu ni kwamba gazeti hili pekee kubwa la kiislam ilmejitahidi sana kuamsha hisia endelevu za kiislam na kupigania kutambulika kwa waislam ki siasa,uchumi na kijamii
namuomba mungu azidi kutuongezea nguvu Inshallah
|
|
Name: FADHIL MACHELA
|
| Country: Tanzania |
Date: Tue Mar 26 18:43:53 2002
|
Comment: maoni yangu ni kwamba gazeti hili pekee kubwa la kiislam ilmejitahidi sana kuamsha hisia endelevu za kiislam na kupigania kutmbulika kwa waislam ki siasa,uchumi na kijamii
namuomba mhgu azidi kutuongezea nguvu Inshallah
|
|
Name: Mtu Kwao
|
| Country: Zanzibar |
Date: Tue Mar 26 08:10:17 2002
|
Comment: Kwanini Watanganyika wanang'ang'ania ardhi ya Zanzibar. We cant allow infidel people lie Benjamini Mkapa and his colleagues to snatch our land. Watu wa bara na viongozi wao ni makafiri wanaoabudu ukatoliki wa mwana haramu anayekunya kama mimi.
Huu ndiyo muda kwa waislamu wote kuamka hasa katika maandamano ya wiki ijayo wakiwa na mapanga na kila kitakachopatikana kupambana na makafiri wote na ikibidi wauwawe kwani sasa hivi wanaleta uchafu hapa Duniani. Hata pope amekiri hivyo.
|
|
Name: Karim
|
| Country: Tanzania |
Date: Tue Mar 26 03:23:09 2002
|
Comment: Tuanshukuru kutuwekea gazeti hili kwenye mtandao,lakini naomba liwekwe kila linapotoka,ili na sisi huku vijijini ambako halifiki tuweze kulipat kwa wakati.
Mwenyezimungu akupeni uwezo na nguvu mzidi kuamsha na kuelimisha,nasiatuamshe na tuelimike.
|
|
Name: Muhsin S. Masoud
|
| Country: Britain |
Date: Mon Mar 25 21:02:08 2002
|
|
Comment: Waislamu tuinuke na tusisitize zaidi kuhusu kutafuta elimu, hili litatukomboa. Jingine ni lazima tuwe na nguvu za kiuchumi tusaidiane kwa kila hali kuanzisha biashara ndogo ndogo ambazo hatimaye zitakua. Zaka ni muhimu na ni lazima itumike katika elimu na kuwakomboa waislamu kiuchumi, tuachane na kupangisha watu foleni kwa ajili ya zaka. Tufanye kazi kwa bidii na kila tulipo tuwe ndiyo wabora wa utendaji na tusibweteke na kua goigoi.
|
|
Name: Bilal Abdul-Aziz
|
| Country: Tanzania |
Date: Sat Mar 23 23:40:20 2002
|
|
Comment: ASSALAAM ALAYKUM TO YOU ALL!
|
|
Name:
|
| Country: |
Date: Sat Mar 23 18:09:43 2002
|
|
Comment:
|
|
Name: Hilal Al-Habsy
|
| Country: Abudhabi UAE |
Date: Sat Mar 23 16:39:12 2002
|
|
Comment: Nilikuwa nikilisoma gazeti la alnur miaka sita iliyopita nimefurahi kuliona ktk e/net nitafaidika pamoja na kila muislam.Naomba muzidishe juhudi. Ndugu fi-LLAH Hilal
|
|