Sign our GuestBook
|
Shows: 9043.
Inputs: 280.
Last show: Thu Aug 28 05:44:27 2008
.
Last input: Wed May 28 19:04:49 2008
.
|
|
Name: emmanuel mwenzangu
|
| Country: Tanganyika |
Date: Thu Sep 5 13:13:39 2002
|
|
Comment: Ndugu yangu Mtu Kwao! ubarikiwe na Bwana.Nakuhurumia sana,Lakini najua tatizo lako kubwa ni elimu.Tena siyo ya juu,bali ni hii tu ya kawaida.Ungemjua Bwana Yesu ni nani kwako,usingemdhihaki kiasi hicho.Ila namjua Bwana Yesu ni mwingi wa rehema ameshakusamehe.Tumia mud a uliobaki kujifunza.Yesu niBwana,ndiye aliyekuumba,Yeye ni Mungu Muumbaji wa vyote.Yesu anakupenda ndugu yangu.Mwamini Bwana Yesu utaokoka.Achana na binadamu (marehemu)wanaojifanya mitume.
|
|
Name: FARHIA IBRAHIM
|
| Country: TANZANIA |
Date: Tue Aug 27 17:15:08 2002
|
|
Comment: MAY ALLAH BLESS YOU FOR YOUR GOOD WORK. AMIN
|
|
Name: Fatma M Mbepey
|
| Country: Iran |
Date: Sat Aug 24 01:21:18 2002
|
Comment: web yenu ni nzuri na inatoa habari muhimu kuhusu hali ya waisalamu na uislam kwa jumla.
jazak lwahu kheir inshaalah
|
|
Name: Saad hemed Saad
|
| Country: Tanzania |
Date: Fri Aug 23 14:44:28 2002
|
|
Comment: Baaraka -llaahu fiikum.
|
|
Name: Ahamed Shamsudeen
|
| Country: India. |
Date: Thu Aug 22 14:04:02 2002
|
|
Comment: I read entire web of Islam of Tanzania. It is exelent. I wish to visit Tanzania and like to meat Tanzanian Muslims.
|
|
Name: Karim
|
| Country: Morogoro-TZ |
Date: Wed Aug 21 03:30:25 2002
|
|
Comment: Haya tena waislam wali wa matanga mumealikwa na DPP na usiwasahaulisheni machungu ya kuwakosa ndugu zenu!!! Kaeni mkiamini kuwa wanasikia hawa kwani masikio hawana? Dhulma lazime ikomeshwe kwa hali na nafsi zetu.Ponda na wenzako karibuni tena Duniani.
|
|
Name: Diana
|
| Country: USA |
Date: Tue Aug 20 01:06:15 2002
|
|
Comment: More Islamic (read: satanic;evil) propaganda from the false, usurper religion. The religion of NO peace, from the "prophet" of no peace that practiced pedophilia, murder, assasination, intolerance of other religions and is now being used by Anti-West, Anti-US evil men for the uplifting of themselves
|
|
Name: Miza mosi jecha
|
| Country: italy |
Date: Sat Aug 17 04:06:04 2002
|
|
Comment: Enyi ndungu wa kiislam endeleeni kuteelimisha na wala msichoke na MMungu atawapa fadhila zake amin.
|
|
Name: Salvatory Charle
|
| Country: Tanzanian |
Date: Fri Aug 16 22:21:29 2002
|
Comment: Iam not a muslim, but I like some of good things in this website and the way it has been prepared.
but what is worst to me is, some comments in here are not relate to islamic.Things like bad words, insults and segregation from some of people are not acceptable. Let people know that the islamic is the way to salvation but not a gang of rascals like the way few of them want to translate it.
I like this website and the contents because I learn alot of things, leave alone few rubbish which
|
|
Name: Mustapha Mussa
|
| Country: Tanzania |
Date: Tue Aug 13 19:37:59 2002
|
|
Comment: Iam very much interested with your website.Keep itr up.Inshaallah many will pass through.
|
|